Salem Online Radio

Salem Online Radio

Dar es Salaam
Punktid 0
Maailma koht #40218
Riigi koht #165 Tansaania

Salem Online Radio ni redio ya Kikristo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mbezi Luis, Dar es Salaam, chini ya Mchungaji Kiongozi Godlisten Nkya. Inarusha mafundisho ya Neno la Mungu, nyimbo za kusifu na kuabudu, maombi na ibada za moja kwa moja kutoka kanisani. Husikilizwa mtandaoni kupitia Zeno.fm.

Otse

  • 18:17
  • 17:36
  • 17:33
  • 17:17
  • 15:48
Täielik loend

Top laulud

Info

Jaama kontakt