Usa River Radio

Usa River Radio

Arusha
Pisteet 6
Maailman sijoitus #19264
Maan sijoitus #115 Tansania

Usa River Radio ni kituo cha redio kinachojivunia kuwa Sauti ya Jamii – kinachohudumia wakazi wa Usa River na maeneo ya jirani (King'ori, Nkoaranga, Tengeru, Makumira, Kikatiti na Arusha mjini). Kinaleta habari za haraka, michezo, burudani, muziki na mipango shirikishi ya maendeleo kwa jamii.

Lähetyksessä

  • 01:52
  • 01:44
  • 01:40
  • 01:35
  • 01:24
Koko soittolista

Top-kappaleet

Tietoja

Aseman yhteystiedot