Access Fm Radio

Access Fm Radio

ンベヤ 100.9 FM
スコア -1
世界順位 #55702
国内順位 #189 タンザニア

Access FM Radio ni kituo cha miondoko cha Contemporary Hits Station (CHR) kinachotangaza kutoka Mbeya, Tanzania kwenye frequency 100.9 FM. Kituo kinatoa burudani, habari, mazungumzo na michezo kwa hadhira ya vijana na wazee katika Kanda ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania ikiwemo mikoa ya Mbeya, Songwe, Rukwa, Njombe, Iringa, Tabora na Singida.

概要

局の連絡先