EKU FM

EKU FM

ダルエスサラーム
スコア 6
世界順位 #17446
国内順位 #91 タンザニア

EKU FM ni kituo cha redio ya mtandaoni (online radio) chenye makao yake makuu Dar es Salaam, Tanzania, kinachosikika masaa 24. Kinalenga kuwaleta watu pamoja kwa burudani isiyochosha, habari, muziki wa kujenga, makala, hadithi na mada muhimu zinazokujenga kifikra na kimwili. EKU ni kifupi cha "Endeleza Kitu/Kipaji Ulichonacho".

概要

局の連絡先