Kilimanjaro Revival FM

Kilimanjaro Revival FM

スコア 10
世界順位 #9676
国内順位 #52 タンザニア

概要

Kilimanjaro Revival FM ni kituo cha redio cha Kikristo kinachomilikiwa na Kilimanjaro Revival Temple (TAG-KRT) kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro. Kina matangazo ya kujenga na kuhimiza wasikilizaji kupitia programu za kuarifu, kuelimisha na kuburudisha huku kikitukuza Mungu. Kinalenga eneo lote la Kilimanjaro na sehemu za Arusha, Manyara, Singida na Tanga kwa frequency 95.9 FM.

局の連絡先