Selous Fm

Selous Fm

ソンゲア 95.7 FM
スコア -3
世界順位 #42691
国内順位 #226 タンザニア

Selous Fm ni kituo cha redio cha kibiashara kilichoanzishwa mwaka 2021 kwa lengo la kuwasaidia wakazi wa mkoa wa Ruvuma, Watanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa kuwapa habari, elimu na burudani. Kituo kinasikika katika masafa ya 95.7 MHz Ruvuma na Mtwara, 102.9 MHz Iringa, 97.5 MHz Lindi na 101.1 MHz Njombe.

概要

局の連絡先