Bahari FM

Bahari FM

Score 96
Wereldpositie #1951
Landpositie #34 Kenia

Over

Bahari FM ni stesheni ya redio ya pwani inayotangaza kwa Kiswahili cha Kijomba na mara kwa mara Kitaita, Kigiriama, Kidigo na lugha nyingine za Kimijikenda. Inamilikiwa na Royal Media Services na ilianza kutangaza mwaka 2008. Stesheni hii inatoa mchanganyiko wa muziki wa asili wa pwani kama Bango, Chakacha na Taarab, pamoja na habari, michezo na vipindi vya burudani. Kaulimbiu yake ni 'Nuru ya Roho'.

Stationcontact