Amani Radio FM (Radio Uinjilishaji FM)

Amani Radio FM (Radio Uinjilishaji FM)

Арушa 100.5 FM
Резултат -5
Позиција у свету #47781
Позиција у земљи #187 Танзанија

AMANI Radio FM 100.5 Arusha ni chombo cha kujenga na kustawisha jamii kiimani ili kuishi Injili ya Kristo kwa matendo. Kituo cha redio cha Jimbo Kuu Katoliki Arusha kinachotangaza kwa masafa ya 100.5 FM, kikitoa vipindi vya kiroho, habari na elimu kwa jamii ya Arusha na Watanzania kwa ujumla.

О станици

Контакт станице