Mwanakondoo Radio

Mwanakondoo Radio

Mwanza
Pontuação 7
Posição mundial #16203
Posição no país #85 Tanzânia

Mwanakondoo Radio ni kituo cha redio cha kidijitali cha muziki wa Injili na mafundisho ya Kikristo, kinachotangaza kutoka Ukerewe, Mkoa wa Mwanza, Tanzania, chini ya uongozi wa Mtumishi wa Mungu Apostle Abiudi Samson Shally. Kituo kinalenga waumini wa Kikristo na kinatangaza kwa lugha ya Kiswahili.

Em directo

  • 14:27
  • 14:24
  • 14:23
  • 14:20
  • 14:16
Lista completa

Top músicas

Sobre

Contactos da estação