Nendiwe Podcast

Nendiwe Podcast

Nendiwe Podcast
Country Tanzania
Genres Education
Language SW
Episodes 1
Latest 30.10.2026

Nendiwe Podcast inaongozwa na Mary Rusimbi na inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, wanahoji na kufumua mifumo ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni inayochangia kudhoofisha ustawi wa wanawake na wasichana. Podcast hii inahamasisha mabadiliko yanayojenga ustawi wa kifeminia, haki, utu na maisha yenye usawa.

Episodes

  • UFEMINIA NI NINI? 30.10.2026 1h 16m
    MADA: UFEMINIA NI NINI? KWANINI BADO UNAHITAJIKA LEO? Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inakukutanisha na Prof. Ruth Meena na Mary Ndaro kulizungumzia hili kwa kina. Upande wa Sauti ya Mwanamke tutakuwa nao Hellen Sisya na Binti kutoka kwa Aluwa Karibuni sana mjumuike nasi mwanzo hadi mwisho.
  • KARIBU NENDIWE 24.10.2026 1h 19m

Popular in

The podcast also appears in the podcast charts of these countries.